Ruka hadi maudhui
HUDUMANET

Pata Wapambaji na Mapambo, Wapishi, Usafi wa Nyumbani na Ofisini, Kijana/Msichana wa kazi, Kijana/Msichana wa kazi (Daywork), Saloon za kike, Watengenezaji wa keki, Saloon za kiume, MC na huduma nyingine karibu nawe

14aina za huduma
10watoa huduma hai
12huduma zenye Verified
mawasiliano salama ndani ya app

Chagua huduma unayohitaji

Bonyeza kundi kuona watoa huduma na maeneo yao, kisha wasiliana nao ndani ya Hudumanet.

Wapambaji na Mapambo
Mtoa huduma 1

Wapambaji na Mapambo

Upate huduma ya kupamba kumbi na maharusi kwa bei nafuu.

Angalia watoa huduma
Wapishi
Mtoa huduma 1

Wapishi

Upate huduma ya wapishi wa sherehe, sendoff, na matukio mbalimbali kwa bei nafuu na bora zaidi.

Angalia watoa huduma
Usafi wa Nyumbani na Ofisini

Usafi wa Nyumbani na Ofisini

Upate huduma za kampuni za usafi majumbani, ofisini, site n.k.

Angalia watoa huduma
Kijana/Msichana wa kazi

Kijana/Msichana wa kazi

Upate House Girl na House Boys; taarifa zao zimehakikiwa na ni waaminifu na weledi.

Angalia watoa huduma
Kijana/Msichana wa kazi (Daywork)

Kijana/Msichana wa kazi (Daywork)

Upate House Girl na House Boys wa muda (daywork); taarifa zao zimehakikiwa na ni waaminifu na weledi.

Angalia watoa huduma
Saloon za kike

Saloon za kike

Pata saloon za kike, kutengeneza kucha, bei nafuu na wataalamu wa kutosha.

Angalia watoa huduma
Watengenezaji wa keki

Watengenezaji wa keki

Kutana na wapishi wa keki na vitafunwa vya kila aina kwa ajili ya sherehe yako.

Angalia watoa huduma
Saloon za kiume

Saloon za kiume

Pata saloon za kiume ambazo zimethibitishwa.

Angalia watoa huduma
MC

MC

Pata MC wa harusi, sendoff, siku ya kuzaliwa, kipaimara, ubatizo, makongamano n.k.

Angalia watoa huduma
Fundi wa simu
Watoa huduma 3

Fundi wa simu

Pata fundi wa simu za aina zote; mafundi wa kitaalamu kwa bei nafuu na wanaotegemewa.

Angalia watoa huduma
Fundi wa kompyuta
Watoa huduma 3

Fundi wa kompyuta

Pata fundi wa kompyuta; mafundi wa kitaalamu kwa bei nafuu na wa kuaminika.

Angalia watoa huduma
Kumbi za harusi

Kumbi za harusi

Tafuta ukumbi wa harusi au mikutano; chagua nchi kisha mkoa, weka oda yako mapema.

Angalia watoa huduma
Gereji za magari & pikipiki
Watoa huduma 2

Gereji za magari & pikipiki

Pata huduma za gereji kwa bei nafuu na kwa uaminifu.

Angalia watoa huduma
Huduma nyingine
Watoa huduma 3

Huduma nyingine

Pata huduma nyingine nje ya orodha hapa, kwa bei nafuu na kwa uaminifu.

Angalia watoa huduma

Watoa huduma wapya

Waliojiunga au kusasisha huduma zao hivi karibuni.

Inavyofanya kazi

Chagua huduma

Chagua kundi kama Wapishi, Usafi au Gereji, kisha chuja kwa mkoa wako.

Linganisha

Angalia picha, uzoefu na alama ya Verified kwa watoa huduma waliothibitishwa.

Wasiliana ndani ya app

Mwandikie mtoa huduma, mpigie simu ndani ya Hudumanet au endelea kwa WhatsApp. Hakuna dalali katikati.

Una huduma ya kutoa?

Jisajili, weka huduma yako na upate siku 30 za kuonekana bure. Ukiridhika, utalipia kifurushi kidogo.

Weka huduma yako