Kuhusu Hudumanet
Hudumanet ni tovuti na app inayowakutanisha wateja na watoa huduma wanaoaminika — wapambaji, wapishi, mafundi, saluni na wengine — ili wawasiliane moja kwa moja.
Tunachofanya
Kila huduma inayowekwa hukaguliwa na timu yetu kabla ya kuonekana. Watoa huduma waliothibitishwa hupata alama ya Verified ili uweze kuwachagua kwa ujasiri.
Hudumanet imejengwa na wahandisi wa programu wa ETALINE, Dar es Salaam, kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za kila siku.
Msaada
Kwa msaada wowote kuhusu akaunti, malipo au huduma, wasiliana nasi kupitia njia zilizo upande wa kulia. Tunajibu haraka zaidi kwa WhatsApp.